Na Elinipa Lupembe
Maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba ya mtumishi yenye shemu ya kuishi familia mbili (2 in 1) Zahanati ya Likamba kata ya Musa.
Ujenzi wa nyumba hii ni mkakati wa serikali wa kuboresha miundombinu ya wahudumu wa Afya itakayowezesha utoaji na upatikanaji wa huduma kwa wanachi kwa saa 24 za siku na siku 7 za Juma, lengo likiwa ni kupunguza na kuondoa kabisa vifo vya kinamama wajawazito na watoto.
Aidha ujenzi huo umegharimu shilingi milioni 70.4 fedha za za Serikali Kuu kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF.
"ARUSHA DC ni Yetu, Tushirikiane Kuijenga"
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.