Afisa Mwandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Jimbo la Arumeru Magharibi Bw. Seleman H. Msumi akifunga mafunzo ya Maafisa Waandikishaji wa Vituo na Waendesha vifaa vya Bayometriki.
Bwana.Msumi amewataka Maafisa Waandikishaji hao kwenda kufanya kazi hiyo ya uandikishaji kwa kuzingatia viapo na mafunzo waliyopata ili hatimaye wananchi wote wenye sifa za kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura wawezi kufikiwa.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.