Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Arusha amefungua Mafunzo ya Mfumo wa IFT - MIS ( Inspection and Finance Tracking Management System) na kuwataka Watendaji wote wa Halmashauri hiyo kuhakikisha kuwa wanayazingatia mafunzo hayo kwa umakini kwani.
Bwana,Msumi ameyasema hayo leo tarehe 09,Aprili,2025 katika ukumbi wa Halmashauri ya Arusha wakati akifungua mafunzo ya mfumo wa IFT- MIS kwa Wakuu wa Idara na Vitengo ambapo amesema mfumo huo wa kieletroniki wa Ukaguzi na Ufuatiliaji wa Fedha kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa utakuwa na tija kwani umelenga kurahisisha ufuatiliaji ili kujua thamani ya fedha halisi iliyotumika katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ndani ya Halmashauri.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.