Wanawake wajasiriamali halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru wamekiri na kuthibitisha kuwa mikopo mingi inayotolewa na taasisi za fedha kuumiza wajasiriamali wadogo na kusababisha kushindwa kuendelea na biashara kutokana na masharti magumu ya mikopo hiyo.
Wajasiriamali hao wamesema hayo wakati wa mafunzo ya siku moja yaliyotolewa na Idara ya Maendeleo ya Jamii kwa vikundi vya wanawake na vijana vilivyokidhi vigezo na kutegemea kupata mikopo mapema wiki ijayo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa mikutano Halmashauri ya Arusha.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.