Na Elinipa Lupembe.
MASWALI MUHIMU YATAKAYOULIZWA NA Karani wa Sensa ni:-*
Taarifa muhimu ni pamoja na:
1. Jina kamili (matatu)
2. Jinsia (me/ke)
3. Umri
4.Hali ya ndoa
5. Namba ya simu
6. Namba Nida
7. Taarifa za Elimu
8. Taarifa za hali afya
9. Umiliki wa Ardhi, Majengo, vifaa/rasilimali
10. Taarifa ya Shughuli za Kiuchumi
11. Mengineyo (uraia)
Endapo mkuu wa Kaya hutakuwepo nyumbani, inashuriwa kuacha taarifa hizi kwa mtu anayebaki nyumbani.
Pamoja na kuacha Taarifa hizo Karani wa Sensa atakupigia simu kuhakiki Taarifa ulizoacha tafadhari toa ushirikiano.
*ARUSHA DC TUPO TAYARI KUHESABIWA*
WEWE je?
SHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
JIANDAE KUHESABIWA 23.08.2022.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.