• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA ARUSHA AGAWA MAJIKO YA GESI NA VYERAHANI

Posted on: October 17th, 2023

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mh. Zaitun Swai kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amegawa majiko ya gesi 10 na vyerahani 5 kwaajili ya kuwawezesha kiuchumi wanawake wa vijijini katika kata ya Kimyaki Halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru.


Akizungumka wakati wa hafla ya kukabidhi majiko hayo, Mhe.Swai amesema ameamua kugawa majiko na cherahani hivyo ili kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita katika adhma ya kumkomboa na kumsaidia mwanamke kiuchumi hususani mwanamke anayeishi kijijini kwa kuhakikisha anapata mahitaji muhimu ikiwemo huduma za afya, elimu, nishati bora, maji pamoja na mitaji ya kibiashara.


“Mimi kama mwakilishi wa wanawake Bungeni kutoka Mkoa wa Arusha jukumu langu kubwa ni kuhakikisha nawasemea wanawake ili muweze kunufaika na fursa za kiuwekezaji zilizopo ikiwa ni pamoja na kujiunga katika vikundi vya ujasilimali vilevile kupata mikopo ya riba nafuu itakayowasaidia kuwainua kiuchumi na kuzisaidia familia zenu kwani wanawake ndiyo nguzo kuu ya familia”, amesema.


Sambamba na hilo Mhe. Zaitun Swai pia amechangia matofali 500 kwaajili ya ujenzi wa bweni la Shule ya Sekondari Kimyaki ambayo inaupungufu wa mabweni kwa wanafunzi wa kike, kitu ambacho kinapelekea wengine kukatisha masomo kutokana na umbali wa kuja shuleni pamoja na vishawishi mbalimbali.


Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum Dkt. Doroth Gwajima katika kuhitimisha sherehe za maadhimisho ya mwanamke anayeishi kijijini, amempongeza mbunge Zaituin Swai kwa moyo wa kizalendo wa kuwajali wanawake hususani waishio katika mazingira magumu.


Vilevile Mwenyekiti wa Halmashauri ya Arusha, Dkt.Ujung’u Salekwa amempongeza na kumshukuru Mh.Swai kwa mchango wake huo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika kuhakikisha kwamba, akina mama na watoto wa kike wanaweza kujisimamia.



Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI MTENDAJI WA HALASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA BW. SELEMAN MSUMI AWASHONEA SARE MADEREVA WA HALMASHAURI HIYO

    October 02, 2025
  • WIZARA YA KILIMO KUPITIA MAMLAKA YA UDHIBITI WA NAFAKA NA MAZAO MCHANGANYIKO (COPRA) YAZINDUA RASMI MSIMU WA UNUNUZI WA ZAO LA PARACHICHI KWA MWAKA 2025/2026

    September 27, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ARUMERU MWINYI AHMED MWINYI AHITIMISHA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT)

    September 21, 2025
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA AWAASA WANANCHI KUJENGA UTAMADUNI WA USAFI

    September 21, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.