• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MCHOKOZA MADA AKIZUNGUMZIA MAPAMBANO DHIDI YA MARADHI WAKATI WA MDAHALO WA MIAKA 61 YA UHURU HALMASHAURI YA ARUSHA

Posted on: December 8th, 2022

Na Elinipa Lupembe.


Victor Karia mdau, mkazi na  mjumbe wa kamati ya Afya Halmashauri ya Arusha, akiwasilisha mada juu Mapambano dhidi ya maradhi katika ustawi na maendeleo ya jamii tangu kupatikana kwa Uhuru wa Tanganyika mwaka 1961.


Bw. Karia amezungumzia hali halisi ya mabadiliko katika sekta ya afya kuanzi mtu binafsi, upatikanaji wa huduma za afya, uwezeshwaji wa jamii kupata huduma za afya pamoja na ushirikishwaji wa jamii katika kupambana na magonjwa kupitia watoa huduma ngazi ya jamii.


Bw. Karia amebainisha mabadiliko ya kiafya yaliyotokana na mapambano ya ujinga na kumuwrzesha mtanzania mwenyewe kufahamu namna ya kujikinga na maradhi kupitia lishe bora na usafi wa mtu na mazingira,jambo ambalo zamani watu wengi walipoteza maisha kutokana na  magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu, surua, utapiamlo magonjwa ambayo watanzania wa sasa wamefahamu namna ya kujikinga.


 Serikali imefanikiwa kuboresha sekta ya afya kwa kusogeza huduma za afya, karibu na wananchi kwa kuhakikusha kila kijiji kina zahanati, kata ina kituo cha afya, hosptali ya wilaya na kuwa hosptali za rufaa za mkoa, jambo ambalo licha ya kurahisisha upatikanaji wa matibabu, limeondoa msongamano hospitalini.


"Tulikotoka tilitegemea hospitali 1 ya rufaa ya Muhimbili, lakini kwa sasa hospitali za rufaa zipo nyingi, hii ni zao la uwepo wa watalam wasomi na wazawa, waliozalishwa ndani ya nchi yetu".Amfafanua Karia


Mdahalo uliojumisha  wananchi wa makundi na rika tofauti wa halmashauri ya Arusha ulijikita kujadili mada ya "MIAKA 61 YA UHURU NA MAPAMBANO DHIDI YA MAADUI UJINGA, UMASKINI NA MARADHI", uliongozwa na Katibu Tawala Wilaya ya Arumeru Mwl. James Mchembe, uliofanyika kwenye ukumbi wa shule ya Msingi Green Acres eneo la Sekei.


Mdahalo ni maalum kuelekea maadhimisho ya sikuu ya Uhuru wa Tanganyika tarehe 09.12.2022.


MIAKA 61 YA UHURU "Umoja na Amani ndio nguzo ya watanzania wote "


ARUSHA DC

KaziInaendelea✍✍


Bw. Victor Karia akiwasilisha mada juu Mapambano dhidi ya adui maradhi kwenye Mdahalo wa kuelekea Miaka 61 ya Uhuru wa Tanganyika, uliofanyika kwenye Ukumbi wa shule ya Msingi Green Acres.




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.