• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MHE. KIKWETE ASIFU UCHAPAKAZI WA RC MAKONDA, MAANDALIZI SIKU YA WANAWAKE YAKIENDELEA

Posted on: February 17th, 2025

MHE. KIKWETE ASIFU UCHAPAKAZI WA RC MAKONDA, MAANDALIZI SIKU YA WANAWAKE YAKIENDELEA.


Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwan Kikwete, Mapema leo Jumatatu Februari 17, 2025 Jijini Arusha, amekutana na kuzungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akimpongeza kwa uchapakazi na utendaji wake katika kuwahudumia wakazi wa Mkoa huo tangu kuteuliwa kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Katika mazungumzo yao yaliyofanyika Leo Jumatatu Februari 17, 2025, Mhe. Makonda kando ya mengineyo, amemueleza Mhe. Kikwete kuhusu maandalizi yanayoendelea Jijini Arusha, wakati huu Mkoa wa Arusha ukijiandaa kuwa Mwenyeji wa Wiki ya wanawake duniani yanayotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 01- 08, 2025, Mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.


"Tumejipanga vizuri kuelekea maadhimisho haya na tunategemea kuwa na Wizara 10 ikiwemo Wizara ya Katiba na sheria na Samia Legal Aids watakuwepo kwaajili ya kutatua kero na changamoto zote za wananchi wa Mkoa wa Arusha." Amesema Mhe. Makonda.

Mhe. Kikwete ameambatana na kamati ya kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya jamii ambao wamepangiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo kutembelea eneo la Mradi mkubwa wa ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano utakaokuwa na uwezo wa kuhudumia zaidi ya watu 4000 kwa wakati Mmoja kwenye eneo la Impala pamoja na kukagua kampeni ya mfuko wa jamii NSSF ya kusajili wananchi wenye kipato kidogo kwenye mfumo mpya wa Pensheni kupitia maadhimisho ya Wiki ya wanawake inayotarajiwa kufanyika Mkoani Arusha na kufikia kilele chake Machi 08, 2025.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.