MAJALIWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Aprili 29, 2025 ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari, inayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Grand Melia jijini ArushaMaadhimisho hayo yanalenga kubadilishana mawazo na kufanya majadiliano kuhusu fursa na changamoto katika sekta ya habari.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.