Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa wakuu wa mikoa 4 ya Dar es salaam, Mwanza, Kagera na Morogoro.
Uhamisho huo wa wakuu wa mikoa unaanza mara moja.
#kaziinaendelea✍✍✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.