• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MHE. RAIS SAMIA AMEWATAKA WANANCHI ARUMERU KUONDOA HOFU, SERIKALI IMEJIPANGA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI

Posted on: October 16th, 2021

Na. Elinipa Lupembe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Arumeru, kuondoa hofu, kwani Serikali ya awamu hii, imejipanga kutatatua kero na changamoto zinazowakabili, badala yake kufanyakazi kwa bidii kwa amani na utulivu ili kuleta maendeleo ya nchi yao.

Mheshimiwa Rais amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Kikatiti, Wilayani Arumeru mara baada ya kupokelewa na wananchi wa wilaya hiyo, tayari kwa kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Arusha, akitokea Mkoani Kilimanjarao.

Hata hivyo mheshimwa Rais imezitaja changamoto hizo ikiwa ni pamoja na miundombinu ya barabara, Maji na huduma za Afya, na kuahidi kuwa serikali ya awamu ya sita imeweka kipaumbele katika kuzifanyiakazi changamoto zinazowakabili wananchi.

Akiwa wilayani Arumeru Mheshimiwa Rais ametoa fedha kiasi cha shilingi milioni 10 kwa ajili ya kuendeleza na kuboresha miundombinu ya zahanati ya Kikatiti, na kusisitiza usimamizi thabiti wa matumizi ya fedha hizo, ili kituo kikamilike kwa haraka kiweze kuwahudumia wananchi.

"Hiyo pesa ni ya moto hailiki, hiyo pesa ni ya moto haitalika, imetolewa kwa zahanati kwa ajili ya wananchi, tunamkakati wa kujenga vituo vya afya zaidi ya 200 nchi nzima kupitia fedha zinazotokana na tozo za miamala" amesisitiza mheshimiwa Rais.

Awali, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili Mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ya siku mbili, ziara ambayo atatembelea mradi mkubwa  wa Maji wa Jiji la Arusha na kukagua tanki kubwa la maji 'sub station' eneo la Chekereni kijiji cha Mlangarini, atazindua hospitali ya Jiji la Arusha na baadaye  kuzungumza na wananchi katika uwanja cha Sheikh Amri Abeid.

Katika siku ya pili ya ziara yake mkoani Arusha, Mheshimiwa Rais atakwenda wilayani Longido na kuzindua kiwanda cha Nyama, kuzindua  wa mradi wa Maji Longido na baadaye kufafanya Mkutano wa hadhara eneo la Stendi mpya Longido.

Mkoa wa Arusha

#kaziinaendelea✍✍✍✍


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.