• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mheshimiwa Baraka Simon - CCM. achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Arusha.

Posted on: August 22nd, 2019

Na.Elinipa Lupembe.

Diwani wa kata ya Olturoto Mheshimiwa Baraka Simon kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, halmashauri ya Arusha, baada ya kuchaguliwa na wajumbe wa Baraza hilo, na kupata nafasi ya kuliongoza  Baraza hilo kwa kipindi cha mwaka mmoja 2019/2020.

Akitangaza motokeo ya uchaguzi huo, Mkurugenzi mtendaji, halmashauri ya Arusha, Dk. Wilson Mahera, amesema kuwa kura zilizopigwa ni 33, na hakuna kura iliyoharibika, Mheshimiwa Abert Oltulele amepata kura 13 na mheshimiwa Baraka Simon, amepata kura 20.

"Kwa mamla niliyopewa ninamtangaza mheshimiwa Baraka Simon kuwa Makamu Mwenyekiti wa halmashauri ya Arusha kwa kipindi cha mwaka mmoja" amesema Mkurugenzi huyo.

Makamu Mwenyekiti  mheshimia Simon, amechukua nafasi hiyo baada ya kupata kura 20, na kumshinda mpinzani wake mheshimiwa Albert Oltelele, diwani wa kata ya Oloirien kutoka chama cha CHADEMA aliyepata kura 13 kati ya kura 33 zilizopigwa.

Akizungumza baada ya kuchaguliwa, Makamu Mwenyekiti huyo mpya, licha ya kuwashukuru wajumbe hao, ameahidi kufanyakazi kwa ushirikiano na wajumbe wote, kwa lengo la kuwatumikia wananchi wa halmashauri ya Arusha.

Aidha mheshimiwa Makamu Mwenyekiti, amewasihi madiwani wote kushirikiana bila kujali tofauti zao za vyama, na kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi kama ilivyowasilishwa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli wakati wa kuingia madarakani mwaka 2015.

Hata hivyo uchaguzi huo umefanyika kulingana na Kanuni, sheria na taratibu za kuongoza Baraza la Madiwani, kila baada ya mwaka mmoja,  kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani.






Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.