• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MIFUGO ELFU 25 KUANZA KUVISHWA HERENI ZA UTAMBUZI WA KIELERONIKI ARUSHA DC

Posted on: February 15th, 2022

Na. Elinipa Lupembe

Halmashauri ya Arusha inategemea kuanza rasmi zoezi la utambuzi wa mifugo elfu 25 kwa awamu ya kwanza, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Serikali laa kivisha mifugo hereni za kielekroniki, lengo kubwa likiwa ni utambuzi wa mifugo kuanzia umiliki wake pamoja na eneo inapotokea mifugo hiyo.

Akizungumza wakati wa kupokea hereni hizo kutoka kampuni ya S&J Daktari wa Mifugo halmashauri ya Arusha, Dkt. Yohana Kiwone amethibitihsa kupokea jumla ya  hereni elfu 25, kutoka kwa Kampuni hiyo, tayari kwa kuanza zoezi la uvishaji hereni za utambuzi mifugo katika halmashauri ya Arusha.

Dkt. Kiwone amesema kuwa, katika halmasahuri ya Arusha, zoezi la utambuzi litafanyika kwa awamu 4, ambapo jumla ya mifugo 200,019, inategemea kuvikwa hereni hizo za kielektoniki, ng'ombe 81,550, punda 3,535, mbuzi 60,671 na kondoo 54, 245, huku awamu ya kwanza ikitegemea kuvikwa jumla ya mifugo elfu 25.

Aidha Dkt. Kiwone amewataka wafugaji wote wa halmashauri ya Arusha, kuwa tayari kutekeleza agizo hilo ka serikali la kuvika mifugo yao hereni za Kielektroniki, na kuainisha mifugo ambayo itavikwa hereni hizo ni pamoja na ng'ombe, mbuzi, kondoo na punda.

"Kila mfugaji atagharamia hereni kwa mifugo yake, bei ya ng'ombe na punda ni shilingi 1,750 na bei ya mbuzi na kondoo  itakuwa shilingi 1,000 kwa kila mfugo mmoja, hivyo wafugaji wote wanapaswa kujitokeza wakati wa zoezi hilo katika maeneo yao" amefafanua Dkt. Kiwone.

Hata hivyo amezitaja faida za uwekaji hereni hizo za kielekroniki ni pamoja na kutambua mifugo kulingana na umiliki na eneo inapotokea, kidhibiti wizi wa mifugo na magonjwa, kuimarisha soko la ndani na nje la bidhaa za mifugo pamoja na kutatua changamoto ya migogoro baina ya wakulima na wafugaji inayojitokeza mara kwa mara nchini.

Awali utambuzi wa mifugo kwa njia ya kielektroniki unafanyika kwa mujibu wa sheria Na 12 ya utambuzi, usajili na ufuatiliaji ya mwaka 2010, inayoelekeza kutumia hereni za kielektroniki na taarifa za mifugo na mfugaji zitachukuliwa kwenye nakala ngumu na nakala za kielekitroniki na kuingizwa kwenye kanzu data ya Taifa.

ARUSHA DC

KaziInaendelea✍✍✍







Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DKT. PASCAL KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 19, 2025
  • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI

    June 17, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.