• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MILIONI 350 ZA TASAF ZAJENGA KITUO CHA AFYA BWAWANI

Posted on: July 11th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF imetoa fedha kiasi cha shilingi milioni 350 kwa ajili ya ujenzi wa kituo kipya cha afya kata ya Bwawani, mradi ambao utatekelezwa kwa kipindi cha miezi 12 kwa mwaka wa fedha 2023/20224.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa mradi huo, Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi amesema kuwa, tayari utekelzaji wa mradi huo umeanza kwa kasi huku wananchi wa kata ya Bwawani na vijiji vyake wakishiriki katika ujenzi huo.

Ameongeza kuwa ujenzi wa kituo hicho cha afya umekuja wakati muhimu sana, kutokana na adha kubwa walioyokuwa wakiipata wanachi wa kata hiyo kwa kukosa huduma za afya kwa magonjwa ambayo huduma zake kushindikana kwenye zahanati.

"Kukamilika kwa mradi huu kutoandoa changamoto za vifo vya kina mama na watoto, wakati wa kujifungua lakini zaidi kinategemea kuhudumia watu zaidi ya elfu 18 ikiwemo watu elfu 12 wa  kata ya Bwawani na takribani watu elfu 6 wa kata za jirani za halmashauri ya Meru na Simanjiro mkoani Manyara" Amebainisha Mkurugenzi Msumi.

Naye mratibu wa TASAF halmashauri ya Arusha Grace Makema, amesema kuwa kiasi hicho cha fedha kitatumika kujenga majengo matatu ikiwemo jengo la wagonjwa wa nje (OPD), Jengo la mama na mtoto ( maternity ward) pamoja na nyumba ya watumishi (3in 1).

Ikumbukwe kuwa lengo la serikali ni kusogeza huduma za afya karibu na wananchi na kuhakikisha kila kijiji kinakuwa na zahanati na kila kata inakuwa na kituo cha afya huku kila wilaya ikiwa na hospitali ya wilaya pamoja na hospitari za rufaa za mkoa kwa kila mkoa. 

ARUSHA DC NI YETU, TUSHIRIKIANE KUIJENGA
#kaziiendelee

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.