• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MIRADI YA BILIONI 1.2 YAKAGULIWA NA KAMATI YA FEDHA ARUSHA DC

Posted on: February 4th, 2022

Na. Elinipa Lupembe.

Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango, halmashauri ya Arusha, wametembelea na kukagua miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.2 katika sekta ya Elimu, Afya na mifugo pamoja na maeneo ya wazi katika sekta ya ardhi.

Wajumbe hao wamefanikiwa kupitia na kukagua jumla ya miradi 9 na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi 7 hiyo ya maendeleo, inayotekelezwa ndani ya halmashauri ya Arusha kwa kipindi cha robo ya tatu kwa mwaka huu wa fedha uanoendelea 2021/2022.

Akizungumza wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara hiyo Makamu Mwenyekiti wa halmashauri, Mheshimiwa Freddy  Lukumay, amesema kuwa, kamati imeridhishwa na ubora wa miradi unaokwenda sambamba na thamani ya fedha za miradi  zilizotolewa na serikali.Aidha amewapongeza watalamu wa halmashauri wa ngazi zote, viongozi wawakilishi wananchi pamoja na wananchi kwa umoja wao, unaowezesha utekelezaji wa miradi ya maendeleo."Tunawapongeza watalamu wa ngazi zote, miradi tuliyotembelea ni mizuri, tunaona ushiriki wa viongozi wa ngazi zote pamoja na wananchi, hii inaonheza uwazi na umiliki wa miradi kwa wananchi wetu" amesema Makamu Mwenyekiti huyo.Hata hivyo wajumbe hao wameagiza uongozi wa halmashauri, kusimamia kasi ya ujenzi wa miradi yote na kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati kulinga na mikataba ya wakandarasi husika na kuagiza pia kuendelea kuyapima maeneo yote yanayomilikiwà na halmashauri pamoja na kue ndelea kuyatambua maeneo Naye Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, ameahidi kuendelea kusimamia utekelezaji wa miradi hiyo na kuwabana wakandarasi wote, kumaliza miradi kwa wakati kulingana na mikataba yao, lengo likiwa ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma kulinga na matarajio ya serikali.Aidha ameitaja miradi 9 iliyokaguliwa yenye thamani ya shilingi bilioni 1,2,  ni pamoja na ujenzi wa nyumba 3 za wakuu wa idara na vitengo mradi uliogharimu shilingi milioni 150, ujenzi wa shule mpya ya sekondari Olomitu kwa shilingi milioni 60, ujenzi wa shule mpya ya msingi ya mchepuo wa kiinggereza Samia Suluhu Hassan Academy kwa shilingi milioni 250, ujenzi wa kituo kipya cha afya Oloirieni milioni 450 na upanuzi wa kituo cha afya Oldonyosambu kwa shilingi milioni 300.Msumi ameyataja maeneo ya wazi yanayomilikiwa na halmashauri ni pamoja na maeneo ya mifugo kata ya Kiranyi na Kimyaki pamoja na jengo la halmashauri lililoko eneo la Engira Road Jijini Arusha."Vyanzo vya fedha zilizotumika kutekeleza miradi yote ya ujenzi ni pamoja na fedha kutoka serikali Kuu na fedha za mapato ya ndani kupiti fidia ya deni la shamba la Lakilaki"amefafanua Mkurugenzi MsumiZiara hiyo ya Kamati ya fedha ni ya kawaida yenye jukumu lamkukagua shughuli za utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya halmasahuri kwa kila robo ya mwaka,myaani kila baada ya miezi mitatu.ARUSHA DC#KaziInaendelea ✍✍✍#mpangowamaendeleo#jambolamamajamboletu

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.