• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa halmashauri ya Arusha mpaka 2018/19

Posted on: February 20th, 2019

Na. Elinipa Lupembe.

Halmashauri ya Arusha inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendelei katika kata zote 27, kwa lengo la kuhakikisha huduma za jamii zinapatika kwa urahisi na kwa uwiano sawa kwenye  maeneo ya miji na vijiji.

Shughuli zote hizo za Maendeleo zinatekelezwa kwa usimamizi wa Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Arusha, Dkt. Wilson Mahera kwa kushirikiana na watumishi wa ngazi na sekta zote, viongozi wa ngazi zote, kupitia mipango kabambe inayowekwa na Baraza la Waheshimiwa Madiwani.

Dkt. Mahera amefafanua kuwa, halmashauri ya Arusha, imejikita kuelekeza nguvu katika kutekeleza miradi kisekta huku vipaumbele vikiwa kwenye sekta ya Elimu, Afya, Maji, Mazingira na Usafishaji, Kilimo, Mifugo,  Ardhi na Marndeleo ya Jamii.

Kwa mwaka wa fedha 2017/2018-2018/2019, Halmashauri inaendelea kutekeleza miradi mipya, miradi ya nje ya bajeti, pamoja na miradi bakaa inayoendelea kutoka mwaka wa fedha uliopita 2015/2016 na mwaka wa fedha 2016/2017.  

Mkurugenzi Mahera ameongeza kuwa, halmashauri inatekeleza miradi yake kwa kuzingatia zaidi ushirikishwaji wa  wananchi na wadau wa maendeleo ndani na nje ya Tanzania, makampuni, na ASAS za kiraia.

Halmashauri pia inahakikisha miradi hiyo inazingatia weledi ikiwemo usimamizi thabiti wa matumizi ya fedha na utekelezaji unaozingatia thamani halisi ya fedha kwa kulinganisha na ubora wa mradi.  

Ameitaja miradi inayotekelezwa ni pamoja na miradi ya Ujenzi na Ukarabati wa Vyumba vya Madarasa, Nyumba za walimu, Bwalo, hosteli pamoja na vyoo vya wanafunzi katika shule za Msingi na Sekondari, Ujenzi na Ukarabati wa Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali pamoja na ujenzi wa nyumba za wahudumu wa Afya ikiwemo madaktari na wauguzi, Ujenzi na Ukarabari wa miundombinu ya barabara pamoja na vivuko, madaraja na mitaro ya kupitisha maji kwenye kingo za barabara.  

Aidha Dkt, Mahera amewashukuru na kuwapongeza wananchi wote wa halmashauri ya Arusha kwa ujumla wao, watalamu wa halmashauri kisekta, viongozi wa ngazi zote, wadau wote wa maendeleo kwa mapenzi mema yanayowawezesha kujitoa kwa hali mali kuhakikisha wananchi wote wa halmashauri ya Arusha wanapata Maendeleo na kuwataka wadau wengine wa ndani na nje kujitokeza kuwekeza ndani ya halmashauri hiyo.

Bonyeza link hiyo kona taarifa za miradi katika picha

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.