• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mitihani ya muhula kufanyika kimkoa Arusha

Posted on: April 20th, 2018

Mitihani hii ya muhula wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2028,  kwa shule za sekaondari mkoa wa Arusha inatarajia kuanza kufanyika, kuanzia tarehe 17-24/05/2018 kwa shule zote za mkoa huo.

Akizungumza na mwandishi wetu, ofisini kwake leo Afisa Elimu Taaluma halmashauri ya Arusha, mwalimu John Charles amesema kuwa, utaratibu huu mpya umeanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha mhe. Mrisho Gambo, maalum kwa lengo la kuboresha na kuinua kiwango cha taaluma kwa wanafunzi katika shule za sekondari za mkoa wa Arusha.

Afisa Elimu Charles amefafanua kuwa mitihani hii ya muhula, itafanyika kimkoa tofauti na utaratibu wa awali uliokuwa umezoeleka, wa mitihani hiyo kutungwa na walimu wa masomo husika ndani ya shule zao.

Ameongeza kuwa mitihani imetungwa pamoja na itasahihishwa pamoja  ili kuwapima wanafunzi yale waliyofundishwa kulingana na mitaala ya masomo husika.

" Mada za masomo zinafanana kulingana na madarasa husika, maazimio ya kazi ya walimu yanafuata mtaala mmoja, hivyo upimaji huu utatoa picha halisi ya namna wanafunzi wanafundishwa, na ufundishaji wa walimu, mitihani ni ilele tofauti ni watungaji tu" amesema Afisa Elimu huyo.

Aidha amesema kuwa mitihani hii licha ya kuwapima wanafunzi,  itapima pia malengo ya ufundishaji kupitia mitaala kama yanafikiwa, sambamba na kufanya tathmini ya ufundishaji kwa kulinganisha na mpango kazi wa mwalimu.

Hata hivyo mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amewahi kunukuliwa akisema kuwa, tafiti zinaonyesha wanafunzi wanafanya vibaya mitihani ya kitaifa kutokana na baadhi ya walimu kutokufundisha na kumaliza mada za masomo kulingana na mitaala.

" Wanafunzi wanaonekana kufanya vizuri sana kwenye mitihani ya ndani, laikini inatokana na mwalimu anafundisha mada anazotaka, anatunga mtihani kwa mada chache alizofundisha, wanafunzi wanafaulu, tatizo ikija mitihani ya kitaifa wanafunzi hawafanyi vizuri, kutokana na watungaji wa kitaifa kutunga mitihani kwa kuzingatia mada zote za darasa husika" alinukuliwa mkuu wa mkoa Gambo.

Hata hiyo mkuu wa mkoa Gambo alisema kuwa kupitia mitihani hii ya pamoja itatoa picha halisi ya ufundishaji wa walimu na uelewa wa wanafunzi, kupitia mada za mitaala ya masomo husika pamoja na maazimio ya kazi ya walimu kwa muda husika.

Hata hivyo Afisa Elimu Charlesa amethibitisha kuwa mitihani hii ya muhula itawahusisha wanafunzi wa kidato cha I , II,III na V na jumla ya shule 54 za sekondari halmashauri ya Arusha zitafanya mitihani hiyo na kuongeza kuwa,  tayari maandalizi yamekamilika kwa zaidi ya asilimia 90%.

Uongozi wa halmashauri ya Arusha, unawatakiwa wanafunzi wote kila la heri katika mitihani yao.

                             !!!!!...... TUNATEKELEZA.....!!!!!!!!!!!!!

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KUFUATILIA NA USAMIZI WA HAKI ZA MTOTO KATIKA JAMII NI JAMBO MUHIMU

    August 25, 2025
  • RAIS SAMIA AMUAPISHA AMOS MAKALLA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    August 26, 2025
  • DKT. JAHANNES LEMBULUNG' LUKUMAY ACHUKUWA FOMU YA UGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI

    August 25, 2025
  • KIKAO KAZI CHA WENYEVYITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA (CEOs Forum 2025)

    August 24, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.