Wataalamu wasimamizi wa mradi wa maji wa vijiji vitanao unaotekelezwa na shirika la WaterAid wamefanya Mkutano wa wananchi wa Kitongoji cha Seuri kata ya Olturumet kwa ajili ya kufanya makubaliano ya mwisho juu ya uetekelezaji wa mradi huo unaotegemea kumaliziaka Mwezi Mei 2017.
Wananchi wa Seuri wamekubali mradi huo na kuiomba serikali kuangalia upangaji wa bei za maji kwa kuzingati hali halisi za kiuchumi kwa baadhi ya wananchi wa eneo hilo pamoja na watu wasio na uwezo hasa wazee.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.