Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha bwana Seleman Msumi akiongea na Viongozi toka USAID na baadhi ya Wataalam toka Halmshauri hiyo wakati wa kutambulisha mradi mpya unajulikana kama KIZAZI HODARI utatekelezwa kupitia Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Kanda ya Kaskazini
Lengo kubwa la mradi huo ni kuimarisha Afya, Ustawi na Ulinzi wa Mtoto ambapo majukwaa ya Kijamii, Viongozi wa Dini na Mila watatumika katika kutoa elimu kuhusu malezi ya Watoto ikiwemo pamoja na kupambana na ukatili wa kijinsia.Mradi huu unatarajia kukamilika ifikapo 2027
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.