Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha,Bwana Seleman Msumi akiwa anaongea na Wananchi wa Kata ya Kiranyi wakati wa ziara ya kikazi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha,ndugu Thobias Ole Sabaya tarehe 02/08/2024. Katika ziara hiyo bwana Msumi alipata wasaha wa kutoa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa kuonyesha namna Halmashauri inavyotekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Afya,Maji,Elimu,TASAF pamoja na Maji.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.