Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha, Bwana Seleman Msumi akiupokea Mwenge wa Uhuru toka kwaMkurugenzi wa Halmashauri ya Meru Mwl.Zainab Makwinya leo tarehe 20/07/2024 katika Viwanga vya Chekereni. Ikikumbukwe kuwa Wilaya ya Arumeru ina Halmashauri mbili za Arusha na Meru na mwenge huo utanakimbizwa katika Wilaya ya Arumeru kwa siku mbili, kuanzia tarehe 19/07/2024 mpaka tarehe 21/07/2024 utakapokabidhiwa Wilayani Longido
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.