Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiwa kwenye Mkutano wa 74 wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika (The East, Central and Southern Africa Health Community - ECSA-HC) unaofanyika Lilongwe nchini Malawi kujadiliana masuala ya afya wanachama wa Jumuiya hiyo.
Mkutano huo umefunguliwa rasmi leo Februari 10, 2025 na Makamu wa Rais wa Malawi Dkt. Michael Bizwick Usi na kuwakutanisha kwa pamoja Viongozi na wataalam wa Sekta ya Afya kutoka nchini tisa wanachama wa Jumuiya hiyo.
Jumuiya ya ECSA-HC barani Afrika inajumuisha nchi za Tanzania, Malawi, Kenya, Lesotho, Zambia, Zimbabwe, Mauritius, Uganda pamoja na Eswatini.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.