Posted by Ambrose Rashid
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru,Mhe.Emmanuel Mtatifikolo Kaganda akisikiliza kero toka kwa mwananchi aliyeshiriki mkutano wa kupokea,kusikiliza na kutatua kero uliongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mhe.Paul Christian Makonda na kufanyika katika viwanja vya soko la Kisongo Kata ya Matevez. Mkutano huo umefanyika kutokana na agizo alilolitoa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi tarehe 02/06/2024 katika eneo la Kisongo wakati wa ziara yake ya Kichama Mkoani Arusha.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.