Mkuu wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasimali Watu Halmashauri ya Wilaya Arusha Bi.Beatrice K.Augustine akizungumza na timu ya Wataalam wa PSSSF waliotembelea banda la Wilaya ya Arumeru wakiongozwa na Mkurugenzi Rasimali Watu na Utawala wa Mfuko huo bwana Paul Kijazi.
Halmashauri za Wilaya za Arusha na Meru ni kati ya Halmashauri Nchini zinazoshiriki Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika Mkoani Dodoma katika Viwanja vya Chinangali Park kuanzia tarehe 16-23 ,Juni,2025.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.