Mkuu wa Wilaya wa Arumeru,Mhe.Ameir Mohammed Mkalipa leo tarehe 05 amewaongoza Viongozi wa Halmashauri Arusha na Metu kutembelea mabanda ya maonyesho ya Wajasiriamali wa Halmashauri hizo ikiwa ni maadhimisho ya siki ya Wanawake Duniani ambapo kilele chake kitafanyika tarehe 08,Machi,2025.
Mhe.Mkalipa pamoja na kujionea bidhaa mbalimbali za Wajasirimali katika maonyesho hayo,pia amezipongeza Halmashauri za Arusha na Meru kwa kuvisaidia Vikundi hivyo kwa kuwapa mikopo ya asilimia 10% ambayo imewasaidia kujikwambua kiuchumi na kuendesha maisha yao ya kila siku.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.