Mhe.Emmanuela Kaganda Mtatifikolo Mkuu wa Wilaya aliyehamishiwa Wilaya ya Babati toka Wilaya ya Arumeru akimpokea na kumkabidhi Ofisi Mhe.Amir Mohommed Mkalipa, Mkuu wa Wilaya mpya wa Wilaya ya Arumeru,leo tarehe 04/09/2024.
Mkuu wa Wilaya mpya ya Arumeru,Mhe.Amir Mohammed Mkalipa akisalimiana na Kamati ya Usalama Wilaya ya Arumeru mara baada ya kuwasili Wilayani Arumeru leo tarehe 04/09/2024.
Mhe.Amir Mohammed Mkalipa, Mkuu wa Wilaya mpya wa Arumeru akisaini kitabu cha wageni mara alipowasili rasmi ofisini kuanza majukumu yake mapya katika Wilaya ya Arumeru,leo tarehe 04/09/2024.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.