• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MPANGO WA UWEKEZAJI AFYA YA MAMA NA MTOTO WAZINDULIWA ZANZIBAR...

Posted on: August 23rd, 2023


Na Angela Msimbira, ZANZIBAR


Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman amezindua Mpango wa Uwekezaji wa Afya ya Mama na Mtoto Tanzania wa miaka mitano (Tanzania Martenal & Child Health Investment Program) wenye lengo la kuimarisha afya ya Mama na mtoto nchini  unaofadhiliwa na Benki ya Dunia pamoja na Shirika la Global Financing Facility.


Akizundua Mpango huo leo Agosti 23,2022 Zanzibar .Mhe Othman amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe  Dkt. Samia Suluhu Hassan  na Rais wa  Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi  kwa kuendelea kutoa kipaombele katika sekta ya afya  na  kuwezesha uzinduzi wa mpango  wa uwekezaji  katika afya ya mama na mtoto unaolenga kuboresha huduma ya afya ya mama na mtoto katika ngazi zote Tanzania Bara na Zanzibar.


Amesema Mpango huo utatekelezwa chini ya usimamizi wa Wizara ya Afya Tanzania Bara,  Wizara ya Afya Zanzibar pamoja na Ofisi ya Rais TAMISEMI ambapo uwekezaji wake utagharimu dola za Marekani milioni  275 na kati ya hizo dola za Marekani 250 ni mkopo wa gharama nafuu kutoka Benki ya Dunia na  dola za Marekani milioni 25  kutoka Global financing facility.


Mhe. Othman amesema  kuwa, kwa upande wa Tanzania Bara Mpango huu utatekeleza afua muhimu ikiwemo kuajiri watumishi 1, 000 wa kada mbalimbali za afya, kufanya ukarabati wa vituo 159 vya kutolea huduma za afya na ununuzi wa vifaa tiba kwa ajili ya utoaji wa huduma za afya ya mama na mtoto.


Sanjari na hilo Mhe. Othman amesema mpango utaimarisha mfumo wa magonjwa ya dharura na rufaa kwa akina mama wajawazito na watoto wachanga pamoja na kuimarisha menejimenti na uwajibikaji katika utoaji wa huduma za afya na  kwa upande wa Zanzibar mpango  utaimarisha utoaji wa huduma za afya ya mama na mtoto pamoja na  kuimarisha mifumo ya utoaji wa huduma bora za afya kwa wananchi.


OR-TAMISEMI



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.