• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI ARUMERU MAGHARIBI AMEMKABIDHI FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE, NOAH LEMBRIS KUPITIA CCM

Posted on: August 22nd, 2020

Na. Elinipa Lupembe.

      Msimamizi wa Uchaguzi  Jimbo la Arumeru Magharibi Saad Mtambule amemkabidhi fomu za Uteuzi wa Ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi ,Bw. Noah Lembris Mollel kupitia chama cha Mapinduzi -CCM

        Mteule huyo wa Chama cha Mapinduzi, aliwasili majira ya saa 05:20 asubuhi, kwenye Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi  Jimbo, na kukabidhiwa fomu hizo za Uteuzi mnamo saa 05:53 asubuhi, akiwa ni mteule wa chama chama cha Mapinduzi kuwania nafasi ya Ubunge wa  Jimbo hilo.

   Mgombea huyo aliwasili kwenye ofisi za Msimamizi wa uchaguzi, akiwa ameambatana viongozi wa chama hicho ngazi wilaya na kata, akiwepo, Katibu wa Chama wilaya ya Arumeru, katibu mwenezi wilaya, wajumbe wengine wa chama hicho pamoja na baadhi ya wateule wa Udiwani wa chama hicho.

       Aidha Msimamizi huyo wa Uchaguzi, alimkabidhi fomu ya Uteuzi mgombea huyo,  kufuatia Maelekezo ya  Fomuya Uteuzi Na. 8B,  kwa mujibu wa Kifungu cha 38 (3) na (4) chaSheria ya Taifa ya Uchaguzi sura ya 343 ikiweka wazi mambo yaliyojumuishwa kwenye fomu ya Uteuzi.

       Msimamizi Mtambule amemtaka mteule huyo, kusoma maelekezo yaliyotolewa na Tume ya Taifa Ya Uchaguzi, kuheshimu na kufuata taratibu za Uchaguzi kwa kusoma vitini vyenye maelekezo ya taratibu zote za uchaguzi mkuu.

        Aidha amemtaka na kufuata kanuni na taratibu za uchaguzi wakati wote wa kampeni, kwa kufanya kampeni za kistaarabu, ikiwa ni pamoja na kuepuka lugha za kashfa kwa wagombea wengine, lengo likiwa ni  kufanikisha uchaguzi kwa amani, huru na haki kwa maendeleo ya wananchi wa Tanzania.

      Mgombea huyo wa CCM, amefikisha idadi ya Wagombea kumi na mbilo, kutoka vyama kumi na mbili vya siasa, kuchukua fomu ya Uteuzi, Ubunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi.







Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.