• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI AMEMKABIDHI FOMU ZA UTEUZI WA UBUNGE MTEULE WA CHAMA CHA SAU

Posted on: August 14th, 2020

Na. Elinipa Lupembe.

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Magharibi, Saad Mtambule amemkabidhi fomu za Uteuzi wa Ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi  wateule wawili,  Bw. Elias Fatael Chonjo, kupitia Chama cha Sauti ya Umma - SAU.

        Mgombea huyo aliwasili wa Chama cha SAU, kwenye Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi  Jimbo, eneo la Sekei akiwa ameambatana na Katibu wa chama cha SAU Arumeru majira ya saa 03:10 asubuhi, na kukabidhiwa fomu hizo za Uteuzi majira ya saa 03:30 kwa kuwania nafasi ya Mbunge wa Jimbo hilo.

        Aidha Msimamizi huyo wa Uchaguzi, amemkabidhi fomu ya Uteuzi mgombea huyo,  kufuatia Maelekezo ya Fomu ya Uteuzi Na. 8B,  kwa mujibu wa Kifungu cha 38 (3) na (4) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi sura ya 343 ikiweka wazi mambo yaliyojumuishwa kwenye fomu ya Uteuzi.

        Hata hivyo Mtambule, amemtaka mteule huyo, kusoma melekezo yaliyotolelewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kupitia vitini vya maelekezo, sambamba na kuheshimu taratibu za uchaguzi kwa kuepuka maneno ya kashfa kwa wagombea wengine wakati wote wa Kampeni huku wakiwaelimisha wafuasi wa Chama chao kuwa watulivu ili uchaguzi uwe wa amani, huru na wa haki.

        Mgombea huyo amefanya kufikisha idadi ya Wagombe watano kutoka vyama vitano vya siasa, kuchukua fomu ya Uteuzi wa Ubunge kwa Jimbo la Arumeru Magharibi.


PICHA ZA MATUKIO



Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Magharibi, Saad Mtambule (kulia), akimkabidhi fomu ya Uteuzi wa Ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi Bi. Frida Marko Nnko, kugombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama cha UMD.


Bw. Elias Fatael Chonjo akisani daftari la kukiri kupokea fomu ya Uteuzi wa Ubunge kupitia Chama cha Sauti ya Umma SAU, mara baada ya kukabidhiwa fomu ya Uteuzi wa Ubunge na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Magharibi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KUFUATILIA NA USAMIZI WA HAKI ZA MTOTO KATIKA JAMII NI JAMBO MUHIMU

    August 25, 2025
  • RAIS SAMIA AMUAPISHA AMOS MAKALLA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    August 26, 2025
  • DKT. JAHANNES LEMBULUNG' LUKUMAY ACHUKUWA FOMU YA UGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI

    August 25, 2025
  • KIKAO KAZI CHA WENYEVYITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA (CEOs Forum 2025)

    August 24, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.