• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MSTAHIKI MEYA JIJI LA MWANZA AZUNGUMZA NA MADIWANI NA WATALAMU WA ARUSHA DC

Posted on: January 10th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Mhe. Costantine Simba, amekutana na waheshimiwa Madiwani na Wakuuu wa Idara na Vitengo kutoka Halmashauri ya Arusha, waliofika Jijini hapo kwa ajili ya ziara ya mafunzo Jijini hapo.


Akizungumza kwenye ukumbi wa mikutano wa Jiji la Mwanza, Mstahiki Meya, amewakaribisha wageni huku akiwathibitishia kuwa ziara hiyo ya mafunzo itakuwa yenye tija na kuzaa matunda kwa halmashauri zote mbili kwa maendeleo ya Taifa la Tanzania.


Mstahiki Meya amebainisha kuwa anayo matumaini makubwa kuwa, ziara hiyo itakuwa ya mafanikio kwa madiwani na watalamu kwa mustakabali wa maendeleo ya wananchi wa Halmashauri ya Arusha lakini pia ni njia sahihi ya kufungua milango ya kiuchumi na kijamii kati ya halmashauri hizo mbili za Mwanza na Arusha DC.


Amefafanua kuwa Jiji la Mwanza ni miongoni mwa Majiji yanakua kwa kasi huku wananchi wake wakijikita kwenye shughuli za biashara zaidi pamoja na uzalishaji wa kilimo na ufugaji kwa kiasi kidogo, huku shughuli hizo za kiuchumi na kijamii zikiwa ndio mategemeo ya mapato ya ndani ya Jiji la Mwanza.


"Wananchi wa Jiji la Mwanza kwa sasa wamejikita zaidi kwenye biashara kutokana na kukua kwa Jiji na kujikuta shughuli nyingine za kilimo na ufugaji zikiendelea kutokomea taratibu". Amesisitiza Mtahiki Meya huyo.


ARUSHA DC

KaziInaendelea✍










Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.