• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MWENYEKITI ARUSHA DC MHE. OJUNG'U SALEKWA AKIPANDA MTI ENEO LA MTAMBO WA KUCHUJIA MAJINKIJIJI CHA LEMANDA

Posted on: January 27th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Mwenyekiti wa halmashauri ya Arusha Mhe. Ojung'u Salekwa akipanda mti kwenye eneo lililosimikwa mtambo wa kuchujia maji kijiji cha Lemanda.

Mhe. ojung'u ameotesha mti huo ikiwa ni ishara ya utunzaji wa mazingira muda mfupi kabla ya Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Balozi Yashushi Misawa, kuzindua mtambo wa kichujia maji na kuondoa madili ya floraidi.


Mtambo huo wa kuchujia maji umefanyika kwa ushirikiano mkubwa wa Serikali ya Japan kupitia chuo kikuu cha Shinshu na serikali ya Tanzania ili kuondoa taka hususani madini hatari ya floride madini ambayo yamekuwa ni changamoto kwa afya za wakazi wa kijiji cha Lemanda.


Mtambo huo wa kuchuja maji wenye uwezo wa kuzalisha Lita 300 kwa saa na kuhudumia jumla ya 60 na watu zaidi ya 400 wa kitongoji cha Lemanda na umegharimu dola za kimarekani 115,000 sawa na shilingi milioni 264 za kitanzania.


Mtambo huo wenye uwezo wa kuchuja na kuondoa madini ya floraidi kutoa mm 24 kwa lita na kufikia mm 0.1 kiwango ambacho kinakubalika kwa mataifa, maji ambayo yatatumiwa na wananchi hao kwa ajili ya kunywa na kupikia.


Wananchi wa Lemanda wameushukuru ubalozi wa Japani kwa msaada huo, ambao wanaamini utakwenda kupunguza madhara wanayoyapata kutokana matumizi ya maji yenye kiasi kikubwa cha madini ya floraidi.


ARUSHA DC Yetu, Tushirikiane Kuijenga"

#KaziInaendelea✍✍✍




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.