Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Arusha, Mwl. Hossein Mghewa, anawatangazia wananchi wote wenye umri wa kuanzia umri wa miaka 18 na kuendelea, kujiandikisha kwenye Orodha ya Wapiga Kura kuanzia leo tarehe 08 - 14/2019.
Nenda ukajiandikishe kwenye Kituo kilivyoainishwa kwenye Kitongoji chako.
Tumia vizuri muda uliopangwa, hakikisha umejiandikisha ili upate Sifa ya kupiga Kura kuchagua Mwenyekiti wa Kitongoji, Mwenyekiti wa Kijiji na Wajumbe wa Serikali ya Kijiji.
SIFA ZA KUJIANDIKISHA:
- Awe Raia wa Tanzania
- Awe na umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea
- Awe na akili timamu
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.