• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

P4R yaimarisha miundombinu shule ya sekondari Mlangarini Arusha DC

Posted on: April 30th, 2019

Na. Elinipa Lupembe.

Serikali kupitia  Wizara ya Elimu na Ufundi Stadi, na utekelezaji wa miradi ya Lipa kutokana na matokeo 'Education Payment for Result' (EP4R), imeweza kuboresha miundombinu ya shule katika halmashauri ya Arusha, wilayani Arumeru kwa miaka mitatu mfululizo sasa.

Mkakati huo wa serikali ya awamu ya tano, wenye lengo la kupandisha kiwango cha taaluma shuleni, kwa kuwezesha mazingira bora ya kujifunzia na kufundishia, umeendelea kuleta mafanikio chanya kwa shule za msingi na sekondari  nchini.

Shule ya sekondari Mlangarini, ni moja ya shule iliyonufaika na miradi hiyo, mara baada ya shule hiyo, kupata hadhi ya kuwa na wanafunzi wa kidato cha tano na cha sita 'High School' mwaka 2016, kwa kuletewa fedha za ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya shule ili kuendana na hadhi ya shule za kidato cha tano na sita.

Kwa mwaka wa fedha 2016/2017, Serikali ilitoa kiasi cha shilingi milioni 250 kwa shule hiyo,  na kufanikiwa kujenga vyumba 6 vya madarasa,  bweni la kulala  wasichana 70 wa kidato cha tano na sita, ukarabati wa maabara za masomo matatu ya Sayansi pamoja na ujenzi wa vyoo vya wanafunzi.

Hata hivyo kutokana matokeo mazuri ya usimamizi wa miradi hiyo, mwaka huu wa fedha 2018/2019, serikali imetoa tena  fedha shuleni hapo, kiasi cha shilingi milioni 110, kwa ajili ya ujenzi wa Maktaba na ukarabati wa bwalo la chakula, ujenzi ambao unategemea kukamilika kabla ya kumalizika mwaka huu wa fedha, unaoishia Juni 2019.

Hata hivyo uongozi wa halmashauri ya Arusha,  unawataka wananchi na wadau wote wa elimu ndani na nje ya halmashauri, kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano, inayoongozwa na Dkt. John Magufuli, kwa kuchangia ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya shule za serikali, ili kuhakikisha mtoto wa kitanzania kutoka familia masikini naye anapata elimu katika mazingira bora na rafiki.

*PICHA ZA MAJENGO YA P4R SHULE YA SEKONDARI MLANGARINI*


Jengo la maabara za masomo ya Baiolojia, Kemia na Fizikia shule ya sekondari Mlangarini, imekamilishwa na mradi wa EP4R.

Vyumba vya madarasa ya kidato cha tano na  sita shule ya sekondari Mlangarini, yamejengwa na fedha za mradi wa EP4R.

Vyumba vya madarasa ya kidato cha tano na  sita shule ya sekondari Mlangarini, yamejengwa na fedha za mradi wa EP4R.

Muonekano wa vyumba sita vya madarasa ya kidato cha tano na sita shule ya sekondari Mlangarini.


 Bweni la wanafunzi wa kidato cha tano na  sita shule ya sekondari Mlangarini, yamejengwa na fedha za mradi wa EP4R.

Muonekano wa nyuma wa Bweni la wasichana la wanafunzi wasichana wa kidato cha tano na  sita shule ya sekondari Mlangarini, yamejengwa na fedha za mradi wa EP4R.


Muonekano wa ndani wa Bweni la wasichana la wanafunzi wasichana wa kidato cha tano na  sita shule ya sekondari Mlangarini, yamejengwa na fedha za mradi wa EP4R.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.