• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

P4R yakarabati maabara za Baiolojia, Fizikia na Kemia Sekondari Oldonyosambu

Posted on: May 5th, 2018

Katika kuhakikisha shule za sekondari zinakuwa na vyumba vya maabara za masomo ya sayansi na si maabara tuu bali maabara zenye vifaa, serikali kupitia programu ya Lipa kutokana na matokeo 'P4R' imetoa shilingi milioni 480 kwa ajili ya uboreshaji wa miundombinu ya shule za msingi na sekondari,ikiwemo maabara.

Kupitia fedha hizo, halmashauti ya Arusha inatekeleza miradi ya ujenzi, umaliziaji na  ukarabari wa maabara za masomo ya Sayansi kwenye jumla ya shule 9 za sekondari.

Shule ya sekondari Oldonyosambu ni miongoni mwa shule hizo tisa ambayo maabara tatu za masomo ya Fizikia, Kemia na Biolojia zinafanyiwa ukarabati.

Mkuu wa shule ya Oldonyisambu, mwalimu Leshai Moita amesema kuwa ukarabati huo unaendelea kwa vyumba vitatu vya maabara, unaohusisha uwekaji wa mifumo ya maji na gesi pamoja ukarabati mdogo wa majengo ambao utagharimu kiasi cha  shilingi milioni 15 kwa milioni tano kwa kila chumba.

 Mkuu huyo wa shule ameongeza kuwa, ukamilishaji wa maabara hizo, utarahisisha tendo la kufundisha kwa mwalimu na  kujifunza kwa mwanafunzi na kupandisha kiwango cha taaluma shuleni hapo.

Diwani wa kata ya Oldonyosambu, mheshimiwa Raymond Rairumbe, licha ya kuridhishwa na ukarabati huo amekiri kuwa kukamilika kwa maabara hizo kumeanza kuamsha morari ya wanafunzi kupenda masomo ya Sayansi, tofauti na hapo awali wanafunzi waliyachukia masomo hayo kwa kuyaona ni magumu.

Ameongeza kuwa, sehemu kubwa ya tendo la kujifunza linahusisha vitendo, kwa asilimia 75 ya tendo zima  la kujifunza  huku asilimia 25 pekee zikihusisha kusikia na kuona.

"Kuwepo kwa maabara kutasaidia wanafunzi kujifunza kwa nadharia na vitendo, jambo litakalomwezesha mwanafunzi kujiamini kwa kile anachojifunza,  kukumbuka na zaidi kulipenda masomo ya Sayansi, masomo yanayotegemewa kutupeleka kwenye uchumi wa kati ifikapo 2025". amesema mheshimiwa Lairumbe

Hata hivyo wazazi na walezi wanatakiwa kufuatilia mara kwa mara, maendeleo ya kitaaluma ya watoto wao wawapo shuleni, jambo linamhamasisha mwanafunzi kuona umuhimu wa elimu wanayoipata na si kuwaachia walimu peke yao.

Pichani ni majengo matatu ya maabara ya Kemia, Fizikia na Biolojia sekondari ya Oldonyosambu.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.