UTEUZI:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Djkt John Pombe Magufuli, amefanya mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawairi.
Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:-
Kangi Lugola - Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi .
Musa Ramadhani Sima - Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais.
Omary Mgumba - Naibu Waziri wa Kilimo,
Prof. Makame Mbarawa - Waziri wa Maji na Umwagiliaji,
Mhandisi Isack Kamwelwe - Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, na kumteua Athumani Kihami - Katibu wa Uchaguzi NEC.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.