Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan , amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa wapya 9 na Wakuu wa mikoa 7 kuwabadilishwa vituo vya kazi na wengine 10 kubaki kwenye vituo vyao vya kazi.
Uapisho utafanyika Ikulu Dodoma tarehe 01. August 2022.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.