Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Tanzania Startup Association (TSA) ulioongozwa na Mwenyekiti wao Ndugu Paul Makanza. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Disemba 2023
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.