• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Rais Magufuli kuhutubia wananchi wa Arumeru kesho

Posted on: December 1st, 2018

Mkuu wa mkoa wa Arusha, mheshimiwa Mrisho Gambo anapenda kuwajulisha wananchi wa wilaya ya Arumeru kuwa, kutakua na ugeni wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika Halmashauri ya Arusha, wilayani Arumeru, kesho Jumapili tarehe 02.12 2018 kwenye kata ya Kimnyaki.

Akiwa katika kata ya Kimnyaki, Mheshimiwa Rais, ataweka Jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa Visima vya Maji, Visima ambavyo ni vyanzo vya mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA)  wenye thamani ya shilingi bilioni 520, mradi unaotarajiwa kupunguza  tatizo la  maji katika Jiji la Arusha pamoja na maeneo ya jirani ya wilaya ya Arumeru ambako ndiko kwenye chanzo kikuu cha maji.

Mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo wa Visima vya Maji, Mheshimiwa Rais, atazungumza na wananchi wilaya ya Arumeru kwenye mkutano wa hadhara, utakaofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Olimringaringa.

Katika ziara hiyo Mheshimiwa Rais ataambatana na viongozi mbalimbali wa Serikali.

Wananchi wote mnaombwa kuhudhuria, kwenye Mkutano huo wa hadhara na kumsikiliza Rais wenu wa Serikali ya awamu ya tano, Serikali inayowajali wananchi.

MUDA: KUANZIA SAA MBILI KAMILI ASUBUHI

                               'HAPA KAZI TUU - TUNATEKELEZA'




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.