Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Watoto (UNICEF) Bi. Catherine Russell, leo tarehe 11 Machi, 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Katika mazungumzo yao, Rais Dkt. Samia ameishukuru UNICEF kwa mchango wake katika masuala mbalimbali ikiwemo afya, elimu na lishe kwa watoto pamoja na afya ya msingi.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.