Ramani ya shule mpya ya msingi Naisura kijiji cha Lemanda kata ya Oldonyosmabu, ujenzi unaotekelezwa kwa gharama ya shilingi milioni 306.9 fedha kutoka Serikali Kuu.
Ramani hii inajumuisha ujenzi wa vyumba vya madarasa 2 vya madarasa ya awali, vyumba 7 vya madarasa ya msingi, matundu 16 ya vyoo pamoja na jengo la utawala.
Jumla ya shilingi Milioni 682.5 kutoka Serikali Kuu kupitia Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Fursa sawa katika Ujifunzaji Bora kwa Elimu ya Awali na Msingi Tanzania Bara (BOOST), fedha zitakazotumika katika ujenzi wa miundombinu ya shule 6 za Awali na Msingi.
ARUSHA DC ni Yetu, Tushirikiane Kuijenga"
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.