• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC MONGELA AONGOZA WAFANYAKAZI MKOA WA ARUSHA SHEREHE ZA MEI MOSI 2022

Posted on: May 1st, 2022

Na. Elinipa Lupembe.

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mheshimiwa John Mongela amewaongoza wafanyakazi wote wa mkoa wa Arusha, kwenye maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi, 2022, maadhimisho yaliyofanyika kwenye viwanja vya General Tyre eneo la Njiro, Jijini Arusha.

Mkuu huyo wa mkoa amewapongeza wafanyakazi wote kwa siku hiyo muhimu Duniani, huku akiweka wazi kuwa Serikali inatambua na kuthamini kazi kubwa inayofanywa na wafanyakazi wote wa nchini, kazi ambayo ndio msingi wa maendeleo ya Taifa la Tanzania.

"Ninawapongeza sana wafanyakazi wote wa mkoa wa Arusha katika sekta zote, kwa kazi kubwa tunayofanya, kwa maendeleo ya mkoa wetu na taifa kwa ujumla, nawapongeza sana waajiri wote wa Mashirika na Taasisi binafsi, kwa mchango mkubwa wenye tija kwa mkoa na taifa lote kwa ujumla". Amesisistiza Mkuu huyo wa mkoa

Aidha Mheshimiwa Mongela, ameongeza kuwa, usalama wa mkoa wa Arusha, unachangiwa kwa kiasi kikubwa na wafanyakazi, kutokana na watu kuelekeza nguvu, akili na mawazo yote kwenye kufanya kazi, na kuwasisitiza wafanyakazi wote kuendelea kuwa na mshikamano, katika sekta zote, jambo ambalo kimsingi ndilo lenye kuleta tija kwa maendeleo ya Taifa.

Hata hivyo mkuu huyo wa mkoa, amewataka waajiri wote, kuwatambua na kuwapa zawadi stahiki kwa wafanya kazi hodari kila mwaka, jambo ambalo linaongeza motisha kwa wafanyakazi, kuendelea kufanya kazi kwa bidii, pamoja na kupiga marufuku tabia ya baadhi ya waajiri kushindwa kuwatambua wafanyakazi hodari, na baadhi kuwatambua na kutokuwapa zawadi zao stahiki.

Maadhimisho hayo, yalipambwa na mabango yenye jumbe mbalimbali, ndelemo na vifijo wakati wa maandamano wafanyayakazi hao, pamoja na maonesho  ya kazi za taasisi na mashirika mbalimbali zikipita mbele ya mgeni rasmi ndani ya magari.

 Awali maadhimisho hayo kwa mwaka 2022, yenye Kauli Mbiu ya  "Mishahara na Maslahi Bora kwa Wafanyakazi Ndiyo Kilio Chetu", Kazi iendee, ikionesha namna wafanyakazi wana ari ya kufanya kazi inayokwenda  sambamba na  mishahara na maslahi bora kwa wafanyakazi wa sekta zote.






Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DKT. PASCAL KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 19, 2025
  • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI

    June 17, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.