• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC ARUSHA AWAAGIZA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI KUPANDA MITI MILIONI 1. 5

Posted on: April 8th, 2022

Na. Elinipa Lupembe.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amewaagiza wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa  halmashauri zote za mkoa wa Arusha, kuweka mkakati kwa kushirikiana na wadau kuandaa miche milioni 1.5, kwa kila halmashauri kwa ajili ya kuipanda kwa mwaka, ili kufikia lengo la mkoa la kupanda miti milioni 10.5 kwa mwaka.

Mheshimiwa Mongela maetoa maelekezo hayo, kwenye maadhimisho ya kilele cha upandaji miti mkoa wa Arusha, yaliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Enaboishu Academy, halmasahuri ya Arusha na kuwataka wakuu wa wilaya na wakurugenzi kuandaa mkakati wa kuoanda miti milioni 1.5 kwa kila halmashauri kwa mwaka.

"Mkakati wetu ni huu, kila halmashauri kupanda miti milioni moja 1.5 kwa mwaka, tunataka kila mdau, wadau wa mistu, watupe miche ya miti ili kufikia lengo la mkoa la kupanda miti milioni 10.5 ifikapo mwezi Aprili 2023" amesisitiza Mheshimiwa Mongela

Aidha amezitaka taasisi zote za serikali, taasisi binafsi na zile za dini kuwawezesha watu wanaowahudumia, kuhakikisha kila watu wawili wanapanda mti mmoja sambamaba na kuuhudumia mti huo, kwa kipindi cha mwaka mzima na kuongeza kuwa, kila shule iwape jukumu kila wanafunzi wawili wapande mti mmoja, kila kanisa na msikiti waumini wawili wapande mti mmoja na kuutunza mpaka ukue.

"Tunafahamu miti ndio chanzo kikubwa cha maji, miti ni chanzo cha hewa safi, tumeshuhudia mabadiliko ya hali ya hewa, kwa sababbu ya uharibifu wa mazingira, tusifanye uzembe, watalamu na wadau tusidieni kubadilisha maeneo makame kwa kupanda miti ya kutosha, ili kuyafanya mazingira yetu yatutunze" ameweka wazi mkuu huyo wa mkoa

Naye Mkurugenzi mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, ameahidi kutekeleza agizo hilo la mkuu wa mkoa, kwa kushirikiana na wadau, kwa kuhakikisha wanafikia lengo la kupanda miti milioni 1.5, huku akiwataka wadau kuelekeza nguvu kuwekeza kwenye upandaji miti  kwenye taasisi zote za Umma hususani kwenye shule zote za serikali na binafsi.

Wiki ya upandaji miti, hufanyika kila mwezi Aprili kila mwaka, maadhimisho Kilele cha Upandaji Miti mkoa wa Arusha, yamefanika Kimkoa kwenye shule ya msingi Enaboishu Academy, kata ya Oloirien, halmashauri ya Arusha, wilaya yaArumeru.

"Mti wangu, Taifa langu, Mazingira yangu, Kazi Iendelee✍✍


Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mheshimiwa John Mongela, akiwahutubia wakazi wa Arusha, kwenye kilele cha siku ya upandaji miti mkoa wa Arusha, maadhimisho yaliyofanyika kwenye shule ya msingi Enaboishu Academy, halmashauri ya Arusha, wilaya ya Arumeru.

 

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mheshimiwa John Mongela, akipanda mti kwenye kilele cha siku ya upandaji miti mkoa wa Arusha, maadhimisho yaliyofanyika kwenye shule ya msingi Enaboishu Academy, halmashauri ya Arusha, wilaya ya Arumeru.





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.