Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda @baba_keagan akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mkoa wa Arusha kwa mwaka unaoisha 2024/2025 na bajeti mpya kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwenye kikao cha kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) bungeni jijini Dodoma.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.