• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC MONGELA AWAHIMIZA VIONGOZI KUHAMASISHA WATU KUHESABIWA SIKU YA SENSA

Posted on: August 18th, 2022

Na Elinipa Lupembe.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amesema zoezi la sensa halina itikadi ya kisiasa wala dini, hivyo kila mtu ana wajibu wa kushiriki na kuhamasisha wengine kushiriki zoezi hilo igikapo 23.08.2022.


Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na viongozi wa wananchi kwa makundi ikiwemo wa madhehebu ya dini, Siasa, Kimila na wnyeviti aa vitongoji na vijiji na watendaji wa Halmashauri ya Arusha katika kikao cha kuhamasisha zoezi la Sensa.


" Zoezi la sensa halina itikadi ya siasa wala dini, niwaombe viongozi wenzangu kila mmoja ashiriki kuhesabiwa na kuhamasisha wengine kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja, familia, Jamii na Taifa kwa ujumla".


Maendeleo hayaitaji siasa wala dini, maendeleo ni  kwa ajili ya kila mtanzania katika itikadi za kisiasa tofauti, hivyo tuungane kwa pamoja kuweza kulifanikisha hili.


Amewataka viongozi hao wakatoe elimu kwa wananchi hasa zoezi la sensa sio la siku moja bali ni siku 6 kaunzia Agosti 23 hadi Septemba 3 na usiku wa Agosti 22 kuamkia 23 sensa itaanza kwa wale wasio na makazi maalumu kama vile wasafiri.


Aidha, Mhe. Mongella amesema atakae husika kukwamisha zoezi hili ajue sheria itachukua mkondo wake bila kuonea yeyote.


Pia, Mongella amewataka wananchi wa kata ya Oljoro kuhakikisha siku ya tarehe 23  hadi tarehe 3 Septemba wanaacha taarifa zao majumbani ili iwe rahisi kwa karani wa sensa anapopita kuzipata kwa urahisi.


Amewataka wakawe mabalozi wa zoezi zima la sensa ili Serikali inapoleta huduma mbalimbali kwa wananchi kila mmoja aweze kunufaika.


Mhe. Mongella pamoja na Katibu Tawala bwana Missaile Musa wanaendelea na ziara ya kuhamasisha wananchi wajitokeze katika zoezi la sensa kwenye kila halmashauri ya Mkoa wa Arusha.


SHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI 20202

JIANDAE KUHESABIWA 23.08.2022















Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.