Mwenyekiti halmashauri ya Arusha Mhe. Ojung'u Salekwa, anawatakia wananchi wote Kheri ya Sikukuu ya X-Mass mwaka 2022.
Aidha Mkurugenzi huyo amewataka wazazi na walezi kuwalinda na kuwasimamia watoto katika kipindi hiki cha sikukuu.
Amewataka wananchi wote kushereheeka kwa amani na utulivu.
ARUSHA DC
KaziInaendelea
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.