• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI INAMKAKATI KUKAMILISHA MABOMA YALIYOJENGWA NA WANANCHI...

Posted on: August 7th, 2023

Na Elinipa Lupembe. 

Serikali ya awamu ya sita inaomkakati wa kukamilisha ujenzi wa maboma yaliyojengwa na wananchi katika maeneo ya vijiji vya halmashauri ya Arusha baadaya serikali kufanya tathmini na kujiridhisha. 

Hayo yamewekwa wazi na mkurugenzi mtendaji halmashauri ya Arusha, seleman Msumi, akijibu swali lililoulizwa na Diwani wa kata ya Oldonyosambu Mhe. Raymond Lairumbe kwenye kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo, kwenye mkuatano wa Baraza la Madiwani la robo ya nne kwa mwaka wa fedha 2022/2023,
aliyetaka kufahamu ni lini serikali itachukua hatua za kukamilisha miradi iliyojengwa kwa nguvu za wananchi na kufikia hatua za boma.

"Tunafahamu serikali ilihamasisha wananchi kuanzisha ujenzi wa miradi mbalimbali kulingana na vipaumbele kwa ahadi ya kufikisha hatua ya boma na baadaye Serikali kumalizia, wanachi walijikusanya na kujitoa kuanzisha ujenzi wa miradi hiyo, lakini mpaka sasa miradi mingi imeishia kwenye maboma, Je ni lini Serikali itakamilisha maboma hayo ili kuwatia moyo wa kuendelea kuchangia miradi ya maendeleo katika maeneo yao?. Ameulia Mhe. Lairumbe.

Hata hivyo Mkurugenzi Msumi amesema Serikali ilitoa agaizo la kubainisha maboma yote ndani ya halmashauri na kupata jumla ya maboma 54 ambayo tayari yaliwasilishwa Ofisi ya Rais - TAMISEMI,  na tayari timu ya watalamu kutoka TAMISEMI walifika na kufanya tathmini ya maboma yote na tayari serikali iko kwenye utaratibu wa kuakamilisha maboma hayo.

"Tayari tulishawasilisha jumla ya maboma 54 ambayo yanahitaji shilingi bilioni 1.8 ili yaweze kukamilisha ujenzi wa maboma hayo, na tayari tunasubiri utekelezaji wa maboma hayo.

Aidha Mkurugenzi Msumi amefafanua kuwa, katika mwaka huu wa fedha 2023/24, halmashauri imetenga shilingi milioni 258 kwa ajili ya kukamilisha maboma manne ambayo yatakamilika mwaka huu wa fedha kadri mapato yatakavyopatikana.

Ameyataja maboma hayo ni pamoja na ukamilishaji wa jengo la utawala Kituo cha Afya Mateves  milioni 80, ukamilishaji wa jengo la mama na mtoto kituo cha Afya Oldonyosambu milioni 70, ukamilishaji wa shule mpya ya sekondari Kiutu milioni 90 na  Bweni la shule ya sekondari Kimnyaki milioni 18.

Awali mkutano wa baraza la madiwani wa robo ya nne wa kuanzia Aprili - Juni 2023, unafanyika kwa mujibu wa kanuni sheria na taraibu za uendelshaji wa vikao vya halmashauri





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.