• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI YATOA VITENDEA KAZI KWA VITUO VYA WALIMU 'TRC' - ARUSHA DC

Posted on: May 4th, 2022

Na. Elinipa Lupembe.

Mama Samia azikumbuka TRC ARUSHA DC.Serikali ya awamu ya sita, inayoongozwa na Mheshimiwa Rais mama Samia Suluhu, kupitia Wiazara ya Elimu, imevikumbuka vituo vya walimu 'Teacher's Resources Center (TRC)', kwa kuanza kuboresha miundombinu na kuvipa vitendea kazi.

Wizara hiyo ya Elimu, imetoa seti tano za mashine za kudurufia karatasi kwa vituo vitano vya walimu, halmashauri ya Arusha, lengo likiwa ni kuviwezesha vituo hivyo, kuanza kufanya kazi upya, kwa ajili ya kuwaendleeza walimu kitaaluma wawapo kazini. 

Akizungumza wakati wa kukabidhi mashine hizo, mkurugenzi Mtendaji, halmasahuri ya Arusha, Seleman Msumi, amethibitisha kupokea seti tano za mashine na wino, kutoka Wizara ya Elimu, kwa ajili ya kutumiwa na vituo vitano vya TRC vya halmashauri hiyo.

Mkurugenzi Msumi, amesema serikali katika kuboresha sekta ya elimu, inajikita pia katika kuboresha mazingira bora kwa kuwapa walimu fursa ya kupata mafunzo  kazini,  lengo likiwa ni kuwajengea uwezo katika stadi za ujifunzaji na ufundishaji unaoendana na mabadiliko ya kiteknolojia.

"Kazi ya kufundisha inatakiwa kujifunza mara kwa mara, serikali kupitia vituo vya TRC, imeona umuhimu wa kuvihuisha vituo hivyo, ili walimu waweze kupata mafunzo kazini wakati wote, hivyo niwatake walimu kutumia fursa hiyo adhimu kwa kujinoa kitaaluma, pamoja na kubadilishana uzoefu wa mbinu za ufundishaji na ujifunzaji, unaoendana na wakati na mabadiliko ya kiteknolojia" amesisitiza  Mkurugenzi Msumi

Naye Kaimu Afisa Elimu Msingi, Ruth Sumari, amefafanua kuwa, lengo la serikali kutoa vifaa kwenye vituo vya TRC, ni kuhakikisha walimu wanapata elimu wakiwa kazini, inayowajengea uwezo wa kuendeleza mbinu mbalimbali za ufundishaji  ili kuwasaidia wanafunzi kujifunza stadi tatu za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu, maarufu kama KK tatu.

Amefafanua kuwa, halmashauri ina jumla ya vituo vitano vya TRC, na kuvitaja vituo hivyo ni pamoja na Kiutu, Mlangarini, Mateves, Oloirien na Lengijave, vituo ambavyo vitahudumia shule zote 132 za serikali za msingi na sekondari za halmashauri.

Hata hivyo, Wasimamizi wa vituo hivyo vya TRC, halmashuri ya Arusha, licha ya kuishukuru na kuipongeza serikali ya awamu ya sita, kwa kuvihuisha vituo vya TRC, wameweka wazi kuwa vituo hivyo ni muhimu kwa walimu kwa kuwa vinawapa fursa ya kupata mafunzo, mafunzo ambayo yanawezesha walimu kujifunza na kufundisha, kunako endana na wakati, na kuahidi kutumia vituo hivyo kwa maendeleo ya walimu na kupandisha kiwango cha taaluma kwa wanafunzi.

Msimamizi wa TRC Kiutu, na Mratibu wa Elimu kata ya Kiutu, Mwalimu Evaline Mosha, amesema kuwa, TRC ni muhimu sana kwa walimu, kwa kuwa ni kituo kinachowakutanisha walimu kujiendeleza kitaaluma, kwa  kujifunza moduli mbalimbali za ualimu zinatolewa na wizara, pamoja na kubadilishana uzoefu katika nyanja za  ufundishaji na ujifunzaji wawapo kazini.

Halmashauri ya Arusha, inawakaribisha wadau wa maendeleo katika sekta ya elimu, kuendelea kujitoa, kusaidia katika maeneo yote ya halmashauri.

ARUSHA DC

KaziInaendelea✍✍










Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.