Na Elinipa Lupembe
Kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 2023, serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 700 kutekeleza miradi ya maendeleo kata ya Bwawani katika sekta za Elimu na Afya, halmashauri ya Arusha.
Mhe. Emmanuela amefafanua kuwa kati ya fedha hizo milioni 700, milioni 358 ni fedha za serikali kupiia miradi ya TASFA zinatumika kujenga kituo kipya chaAfya kata ya Bwawani, kituo ambacho kinakwenda kuwahudumia vijiji vinne vya kata hiyo na takribani watu elfu 14 na kutimiza adhma ya serikali ya kutokomeza vifo vya watoto na wajawzito wakati wa kujifungua.
KaziInaendelea
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.