Mwenyekiti wa Halmashauri ya Arusha,Dkt.Ojung'u Salekwa akifungua kikao cha utambulisho wa Mradi wa uboreshaji wa miundombinu ya vyoo kwenye maeneo ya masoko katika Kata za Olmotonyi(ngaramtoni) na Olturumet,mradi huo utakaohusisha Vikundi kumi vya kina mama katika kila Kata unatekelezwa na Shirika la WaterAid Tanzania chini ya ufadhili wa Habitat for Humanity ikiwa ni mkakati wa kuboresha makazi na afya za Wananchi.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.