Mhandishi Ujenzi,Nuru Mkwazu wa Halmashauri ya Arusha akichangia mada katika kikao cha kutambulisha mradi wa kuboresha miundombinu ya vyoo kwenye maeneo ya masoko katika Halmashauri ya Arusha. Mradi huo wa uboreshwaji wa vyoo unatarajiwa kufanyika katika Kata za Olmotonyi na Olturumet ukitekelezwa na Shirika la WaterAid chini ya ufadhili wa Habitat for Humanity
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.